Urusi imesisitiza kuwa ina haki ya kuweka silaha zake popote pale itakapoamua katika eneo lake // Afrika Kusini imeahirisha hotuba ya rais kwa taifa ambayo ilikuwa itolewe kesho Alhamisi na Rais Jacob Zuma // Umoja wa Ulaya umezindua mpango wake mpya wa kuzipa uanachama baadhi ya nchi za Balkan ifikapo mwaka 2025.