Rais wa Marekani, Donald Trump ameruhusiwa kutoka hospitali alikokuwa akitibiwa ugonjwa wa COVID-19 // Umoja wa Mataifa umezihimiza nchi zenye nguvu duniani kuheshimu marufuku ya silaha Libya // Serikali ya mpito iliyopewa jukumu la kuirejesha Mali katika utawala wa kiraia imetangazwa, huku baadhi ya wanajeshi wakiteuliwa kushika wizara nyeti