Kamati ya upelelezi ya Baraza la Congress Marekani imepiga kura kwa kauli moja kuruhusu kuchapishwa hadharani nyaraka za siri // Shirika la upelelezi la Ujerumani limesema Korea Kaskazini ilinunua vifaa vya teknolojia kwa ajili ya mpango wake wa makombora kwa kuutumia ubalozi wake mjini Berlin // Chama tawala nchini Afrika Kusini, ANC kitafanya mkutano wa dharura kesho Jumatano.