Urusi imeshindwa kulishawishi shirika la kimataifa la kuzuia kuenea kwa silaha za kemikali, OPCW, kushirikishwa katika uchunguzi wa shambulizi la sumu dhidi ya jasusi wa zamani wa Urusi // Rais wa Marekani Donald Trump amesaini amri ya kuvipeleka vikosi vya ulinzi katika mpaka wa Mexico // Julius Maada Bio ameshinda duru ya pili ya uchaguzi wa urais Sierra Leone