Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameikosoa jumuia ya kimataifa kwa kushindwa kupambana na ongezeko la joto duniani // Rais wa zamani wa Ufaransa Valery Giscard d'Estaing amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94 // Takriban viongozi 100 wa dunia wanatarajiwa kuzungumza katika kikao maalum cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu COVID-19