Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema vikosi vya Urusi vinafanya mashambulizi kuelekea eneo la mashariki//Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameelezea masikitiko yake na kuwapa pole wahanga wa vita katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo//Korea Kaskazini imesema luteka ya pamoja ya kijeshi kati ya Marekani na washirika wake imevuka mpaka na kuifanya hali kuwa ngumu zaidi