JamiiSudan Kusini: Ubunifu wa mitindo ya mavazi hata katika eneo la vitaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii02.04.20192 Aprili 2019Hata kurejea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe hakujamfanya Winnie Godi kuikimbia Sudan Kusini. Anataka kutumia ufanisi wake kama mbunifu wa fasheni kwa manufaa ya nchi yake.https://p.dw.com/p/3G6o8Matangazo