1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Somalia yausaka uanachama wa EAC

21 Julai 2022

Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud leo anatarajiwa kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa Afrika Mashariki huko Arusha Tanzania ili kuisukuma ajenda ya nchi yake kutaka kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki. Jacob Safari amezungunza na mchambuzi wa masuala ya siasa barani Afrika Martin Oloo akiwa Nairobi. Je ni wakati Muafaka kwa Somalia kuingia EAC?

https://p.dw.com/p/4ESQu