1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Somalia yakumbwa na janga la njaa

7 Machi 2017

Asilimia 50 ya wananchi wa Somalia wameathiriwa na baa la njaa litokanalo na ukame wa muda mrefu. Wanaoteseka zaidi ni wanawake, watoto na wakongwe. Alfred Kiti anaangazia athari za janga hilo.

https://p.dw.com/p/2YmbD
Wasichana wakisubiri misaada ya chakula Somalia
Picha: picture alliance/AP Photo/F. Abdi Warsameh

FE: Unser Feature Heute 08/13.03 Drought and Hunger in Somalia - MP3-Stereo