Licha ya wabunge wa Somalia kumchagua rais mpya wa nchi hiyo na kuelekea kumaliza rasmi kipindi cha mpito na kujenga taifa imara katika Pembe ya Afrika, ukweli ulio wazi ni kwamba bad nchi hiyo ingali na safari refu.
https://p.dw.com/p/16DVh
Matangazo
Mohammed Abdulrahman anajadili mustakabali wa Somalia mpya chini ya rais mpya, Hassan Sheikh Mohamud. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Makala: Mohammed Abdulrahman
Mhariri: Othman Miraji