1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Somalia: Hali katika mji wa Kismayo

18 Septemba 2012

Vikosi vya Jeshi la Somalia vikisaidiwa na wanajeshi wa Kenya vinaripotiwa kupiga hatua kuelekea katikati ya mji wa Kismayo ambao unatajwa kuwa ngome kuu iliyobakia ya wanamgambo wa al-Shabaab nchini Somalia.

https://p.dw.com/p/16Asg
Wanamgambo wa kiislamu katika bandari ya Kismayo
Wanamgambo wa kiislamu katika bandari ya KismayoPicha: picture-alliance/ dpa

Mohammed Khelef amezungumza na Afisa Mahusiano ya Nje wa Jeshi la Kenya, Cyrus Oguna, na kwanza anaelezea juu ya operesheni ya kuuteka mji huo wa bandari wa Kismayo:

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Mohammed Khelef

Mhariri: Mohammed Abdulrahman