Somalia: Baraza la Usalama laregeza vikwazo vya silaha
25 Julai 2013Matangazo
Hata hivyo nchi hiyo bado hairuhusiwi kununua zana nzito nzito za kivita, bila kibali kutoka Umoja wa Mataifa. Muda mfupi uliopita Daniel Gakuba amezungumza na mbunge wa Somalia Hussein Bantu kuhusu hatua hiyo ya Umoja wa Mataifa, na kwanza alitaka kujua iwapo serikali mjini Mogadishu imetoa tamko lolote. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Daniel Gakuba
Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman