Soka. Yanga yainyuka CDE ya Djobouti.07.01.20077 Januari 2007https://p.dw.com/p/CCcmMatangazoKatika siku ya kwanza ya ufunguzi wa mashindano ya soka kuwania kombe la mataifa ya Afrika mashariki na kati kwa upande wa klabu, mabingwa wa Tanzania Dar Young Africans wameishindilia timu ya CDE kutoka Djibout kwa mabao 4-0.