Soka – Kipindi 09 – marafiki na maadui wa soka ya Afrika
12 Aprili 2011Matangazo
Katika kipindi hiki, neno la uaminifu linanenwa. Na wakati hili likileta afueni kwa wengine, linasababisha majonzi. Hata mechi ya kirafiki inageuka na kuwa isiyo ya kirafiki kabisa! Lakini kumbuka. Kwa kawaida huwa ni giza zaidi kabla ya mapambazuko.