Soka – Kipindi 08 – Kuwa bora zaidi, sharti mtu awe na hali nzuri kiafya
12 Aprili 2011
Je, matajiri na wenye mamlaka watashinda daima? Au mchezo safi utatawala? Wacha tuone kile Jonathan anaamua, na kilicho muhimu zaidi ikiwa unataka kuwa mchezaji bora. Naam, naye shangazi Lily je?