Soka – Kipindi 04 – Soka ni ya wote12.04.201112 Aprili 2011Ooh hapana! Ni nini matokeo ya bahati mbaya inayomkumba Chedede? Je Safina yuko tayari kwa maisha ya mjini? Na vipi inavyokwenda siku ya kwanza ya kliniki ya soka? Jiandae kwa mshangao….https://p.dw.com/p/RHKUMatangazo