Soka – Kipindi 01 – wachezaji watatu, lengo moja.
12 Aprili 2011Matangazo
Licha ya tofauti katika maisha yao ya awali, Chedede, Safina na Jonathan wanapenda kitu kimoja: Soka! Huku wakilenga kutimiza ndoto yao ya pamoja ya kuwa wanasoka wa kulipwa, wanakabiliana na changamoto ambazo zinashuhudiwa hadi nje ya uwanja! Makinika!