Viongozi wanawake wa mashirika yasiyo ya kiserikali yanayotumia mchezo wa soka kuleta mabadiliko katika jamii kutoka mataifa ya Afrika Mashariki walikutana mjini Marsabit nchini Kenya kujadili mbinu za kudumisha amani. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya.