Simu ni miongoni mwa mambo ambayo yamerahisisha pakubwa mawasiliano baina ya kila mmoja katika ulimwengu wa sasa ila licha ya mazuri inayokuja nayo, yapo mengi maovu yanayofanywa kutokana na maendeleo haya ya kiteknolojia. Je, kuna umuhimu wowote wa kuzipiga marufuku simu za mkononi kwa wanafunzi wa shule na vyuo vikuu? Sikiliza makala ya Vijana Mubashara nya Jacob Safari.