Siku ya Kimataifa ya Ukeketaji dhidi ya wanawake
6 Februari 2012Matangazo
Siku hii imetambuliwa na umoja wa mataifa kama siku ambayo habari tofauti zinatolewa kwa umma ili kujifunza mengi juu ya mila hii potofu inayowanyanyasa wanake na kuhujumu haki zao.
Bado mila hii inayoleta athari nyingi kwa wanawake inaendelezwa katika kabila nyingi barani Afrika.
Ripoti ya mwandishi wa DW Debora Miranda inasomwa studioni na Sekione Kitojo.
Mwandishi Sekione Kitojo
Mhariri Josephat Charo