Umaskini uliokithiri unasababisha kufanya kazi katika migodi kuwa jambo la lazima kwa baadhi ya familia za Kongo ambao wanalazimika kupeleka watoto wao kufanya kazi katika migodi isiyodhibitiwa. Kulingana na Umoja wa Mataifa, takriban watoto 40,000 wanafanya kazi katika migodi. Tunayaangazia hayo kwenye makala Mbiu ya Mnyonge