1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sikiliza uchambuzi wa matokeo ya mkutano wa Biden na Putin

Saumu Yusuf17 Juni 2021

Baada ya mkutano kati ya rais Joe Biden wa Marekani na Vladmir Putin wa Urusi na kukubaliana masuala kadha wa kadha, Saumu Mwasimba alizungumza na mchambuzi wa masuala ya kimataifa Ahmed Rajab aliyeko London Uingereza ili kupata tathmini yake.

https://p.dw.com/p/3v5E1