Hatua ya Rais Uhuru Kenyatta na mpinzani wake Raila Odinga kupana mkono wa maridhiano kulisitisha siasa za migawanyiko, kuzusha mshangao na kufungua milango ya kinyang'anyiro cha urais katika uchaguzi wa 2022 nchini Kenya. Je, siasa za maridhiano kwa viongozi wa kisiasa kupeana mikono zinaweza kuathiri vipi ulingo wa siasa Afrika Mashariki? Sikiliza kipindi cha Maoni.