Hatua ya hivi karibuni ya rais Tshisekedi kudhibiti madaraka nchini Kongo ni kujiuzulu kwa waziri mkuu Sylvestre Ilunga ambaye ni mshirika wa Joseph Kabila ina maana gani? Kwenye makala ya kinagaubaga leo tunazungumza na mbunge Francois Nzekuye, msemaji wa chama cha PPRD cha Joseph Kabila.