SiasaShirika la NASA lagundua sayari mpyaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSaumu Mwasimba23.02.201723 Februari 2017Mazungumzo ya Syria yaanza tena Geneva Uswisi. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani rex Tillerson yuko ziarani Mexico kwa mazungumzo. Rais wa Somalia awataka Al-Shabaab waache vita na kujenga nchi. Na sayari mpya zagunduliwa.https://p.dw.com/p/2Y9XUMatangazo