Shirika la Kijerumani la AHK lazindua ofisi Nairobi
Uchumi
Thelma Mwadzaya18 Aprili 2018
Shirika la Ujerumani la AHK linalotoa huduma za ushauri kwa wawekezaji wa Kijerumani nchini Kenya limepata makazi mapya jijini Nairobi. Hatua hio mpya inaliweka shirika la AHK katika nafasi nzuri hasa ukizingatia kuwa serikali ya Kenya iko mbioni kutimiza ahadi yake ya kufanikisha maendeleo katika uwekezaji na viwanda.