SiasaUjerumaniShinikizo laongezeka kwa Ujerumani kutuma silaha nzito UkraineTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaUjerumani14.04.202214 Aprili 2022Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anakabiliwa na shinikizo linaloongezeka la kuongeza uungaji mkono kwa Ukraine katika kukabiliana na uvamizi wa Urusi ambao umegharimu maisha ya maelfu ya raia.https://p.dw.com/p/49x2tMatangazo