1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shambulio la anga huko Somalia lauwa watu watano

31 Oktoba 2011

Shambulio la anga lililofanywa na majeshi ya Kenya Jumapili limesababisha watu 5 kuuwawa na kuwajeruhi wengine 45, wengi wakiwa wanawake na watoto, katika kambi ya watu ambao wamekimbia makaazi yao kutokana na njaa.

https://p.dw.com/p/132B6
Shambulio la majeshi ya Kenya lasababisha watu 5 kuuwawa.Picha: dapd

Kwa nini maafa kama haya hutokea mara kwa mara katika maeneo ya vita . Sekione Kitojo alimuuliza Suala hili mtafiti mwandamizi katika taasisi ya utafiti wa masuala ya usalama Emmanuel Kisyang'ani ambaye alikuwa na haya ya kusema.

Mwandishi : Sekione Kitojo

Mhariri : Josephat Charo.