Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Kenya imeanza mchakato rasmi wa kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa wiki iliyopita wa Mahakama Kuu kusimamisha mchakato wa kuibadilisha katiba ya nchi hiyo kupitia mpango wa Maridhiano ya kitaifa maarufu kama BBI. Sikiliza mahojiano kati ya Amina Abubakar na mchambuzi wa masuala ya siasa kutoka Kenya Martin Oloo.