JamiiSenegal: Juhudi na kampeni za upangaji uzaziTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii30.10.201930 Oktoba 2019Afrika maghribi ni miongoni mwa maeneo duniani yenyeo viwango vya juu vya uzazi. Senegal hutizamwa kama nuru ya matumaini katika eneo hilo kuhusiana na uzazi, kwani wanawake wengi sasa wanatumia mbinu za kupanga uzazi kuliko zamani. https://p.dw.com/p/3SDRyMatangazo