Semina ya ukaguzi wa fedha nchini Tanzania
22 Mei 2007Matangazo
Mkutano huo unalenga kudhibiti rushwa na ubadhirifu serikalini. Hii inatokea baada ya ripoti za fedha za serikali kupotea kutangazwa hadharani. Semina hiyo ilihudhuriwa na wabunge. Mwandishi wetu wa Dar es Salaam Christopher Bhuke alizungumza na Hamad Rashid Mohamed wa Chama cha upinzani cha CUF aliyehudhuria kikao hicho.