1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Semina kuhusu matumizi ya maji ya mto Nile jijini Dar es Salaam

29 Agosti 2006

Nchi kumi ambazo ni wadau wa mto Nile zinakutana jijini Dar es Salaam kwa semina ya siku tani iliyoanza jana. Nchi hizo ni Sudan, Msumbiji, Ethiopia, Eritrea, Uganda, Kenya, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo DRC, Burundi, na Tanzania.

https://p.dw.com/p/CHme
Nchi nyingi zinategemea mto Nile
Nchi nyingi zinategemea mto NilePicha: picture-alliance/dpa

Mwandishi wetu aliopo Dar es Salaam, Christopher Buke, alizungumza na Bw. Abdallah Said Sheikh ambaye ni mratibu wa kitaifa wa mradi wa usimamizi wa mazingira wa bonde la mto Nile, akianza kumuuliza ni nini hasa kinachojadiliwa katika mkutano huo.

Sikiliza mahojiano yao.