1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume- Unaijua "App" inayowachongea watu polisi?

Sylvia Mwehozi27 Septemba 2022

Makala ya Sema Uvume wiki hii inaangazia programu tumishi au APP ya DarasaTech na nyingine inayowachongea watu polisi huko nchini Saudi Arabia. Ukitaka kuzifahamu teknolojia hizo mamboleo, sikiliza makala hii ya Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/4HP5I