Makala ya Sema Uvume wiki hii App ya Bookkeepa ambayo ni maalum kwa ajili ya kuwasaidia wafanyabiashara wadogo kama bodaboda, mama ntilie na wengineo wenye biashara ndogo nchini Tanzania na Kenya. Mbali na hilo nitakupeleka huko nchini Kenya kusikia juu ya kijana mmoja anayeunda roboti la mbwa katika kupambana na wahalifu.