You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Selina Mdemu
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Selina Mdemu
Taarifa zilizoonesha na Selina Mdemu
UNICEF yaomba dola bilioni 9.3 za kusaidia watoto 2024
UNICEF limetoa ombi la ufadhili wa dola bilioni 9.3 ili wafikie watoto waliokumbwa na majanga ya kibinadamu ifikapo 2024
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Selina Mdemu
Taarifa na Selina Mdemu
18.10.2024 - Matangazo ya Mchana
18.10.2024 - Matangazo ya Mchana
Rais William Ruto wa Kenya amemteua Profesa Kindiki Kithure kuwa Naibu wake, siku moja tu baada ya Bunge la Seneti kumvua madaraka Rigathi Gachagua+++Rais Joe Biden wa Marekani ambae kwa hivi sasa yupo mjini Berlin, Ujerumani, tayari amekutana na mwenyeji wake, Rais Frank-Walter Steinmeier, katika Kasri la Bellevue
20.08.2024 - Matangazo ya Mchana
20.08.2024 - Matangazo ya Mchana
Maambukizi ya ugonjwa wa homa ya nyani, Mpox yanaongezeka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika wakati taifa hilo linasubiri chanjo za msaada kutoka Marekani na Japan+++Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken amesema Israel imekubali pendekezo la kupunguza tofauti zinazokwamisha usitishaji vita na kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa Gaza
Wanawake na Maendeleo: Jeniffer Shigoli mtetezi wa haki za wanawake na mabinti
Wanawake na Maendeleo: Jeniffer Shigoli mtetezi wa haki za wanawake na mabinti
Jeniffer Richard Shigoli ni mwanaharakati anaesimamia masuala ya usawa wa kijinsia kupitia kampeni yake ya 'Binti Huru' anawasaidia watoto wa kike walio shuleni waweze kuepukana na vikwazo vitokanavyo na hedhi sabamba na kutoa elimu ya ujasiriamali kwa wanawake walio katika mazingira duni ili waweze kuepukana na umasikini.
Vijana Mchakamchaka: Je, unaitumiaje simu yako?
Vijana Mchakamchaka: Je, unaitumiaje simu yako?
Je, wewe unaitumiaje simu yako? Ungana na Selina Mdemu akizungumzia matumizi ya simu kwa vijana.
Afya Yako: Umuhimu wa kufanya vipimo mara kwa mara
Afya Yako: Umuhimu wa kufanya vipimo mara kwa mara
Kwenye Afya Yako leo, Selina Mdemu anazungumzia umuhimu wa kufanya vipimo vya mwili mara kwa mara ili kuchunga afya.
Wakulima waanza maandamano Ujerumani
Wakulima waanza maandamano Ujerumani
Wakulima Ujerumani wameanza mgomo kupinga kuondolewa kwa ruzuku ya kilimo huku serikali nayo ikiendelea na msimamo wake
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo