You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Scotland
Scotland imekuwa sehemu ya Muungano wa Ufalme wa Uingereza na Ireland ya Kaskazini tangu 1707
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Janga la Virusi vya Corona bado kuzungumkuti
Ujerumani yarefusha muda wa kufunga shughuli za kimaisha hadi Januari 31 ili kudhibiti kusambaa kwa virusi hivyo.
Uingereza hatimaye yakamilisha kuondoka Umoja wa Ulaya
Hatimaye Uingereza imetamatisha kabisa uhusiano wake wa nusu karne na Umoja wa Ulaya kwa kujiondoa kutoka kwenye soko mo
Mataifa ya EU yaidhinisha mkataba na Uingereza
Kuidhinishwa kwa makubaliano hayo kunasaidia kupunguza uvurugaji wa biashara kati ya pande mbili.
Maoni: Licha ya kufikiwa makubaliano, Brexit bado ni hadaa
Waingereza walikuwa na hali nzuri ndani ya Umoja wa Ulaya bila ya maneno mengi ya Boris Johnson.
Matangazo ya Jioni 25.12.2020
Papa Francis atoa ujumbe wa Krismasi kutaka chanjo ya COVID-19 ipatikane kwa wote. Nchi za Umoja wa Ulaya zaanza kuchambua mkataba wa kibiashara wa baada ya Brexit. Waasi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati wasitisha vita kuelekea uchaguzi.
Matangazo ya Mchana 25.12.2020
Wakristo ulimwenguni kote washerehekea Krismasi chini ya kivuli cha janga la COVID-19. Viongozi wa Ulaya wasifia makubaliano ya kibiashara kati ya umoja huo na Uingereza. Waasi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati wasitisha vita kuelekea uchaguzi.
Matangazo ya Jioni 24.12.2020
q
Mkataba wa baada ya Brexit wapatikana
Uingereza na Umoja wa Ulaya zimefanikiwa kupata mkataba wa baada ya Brexit.
Matangazo ya Mchana 24.12.2020
Waziri Mkuu wa Ethiopia awapeleka wanajeshi katika jimbo ambalo watu 100 wameuawa na watu wasiojulikana. // Umoja wa Ulaya na Uingereza zatarajiwa kutangaza leo makubaliano ya kibiashara ya baada ya Brexit. // Rais wa Marekani awapa msamaha watu 29 wakiwemo wapambe wake.
Mazungumzo ya Brexit wajumbe bado hawajafikia makubaliano
Mazungumzo hayo kuhusu mustakabali wa kibiashara kati ya pande mbili hizo bado yanasuasua.
Von der Leyen: Mianya mikubwa ingalipo kuhusu Brexit
Mianya kwenye mazungumzo ya Brexit yatatiza ufumbuzi.
Barnier: Mazungumzo ya Brexit yanaelekea pazuri
Barnier: Mazungumzo ya Brexit yanaelekea pazuri
Brexit: Umoja wa Ulaya na Uingereza kuendelea na mazungumzo
Von der Leyen amesema hayo leo baada ya kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson
Mustakabali wa mazungumzo ya Brexit kujulikana Jumapili
Mazungumzo hayo yanakabiliwa na mkwamo kufuatia masuala muhimu ambayo yanaibua tofauti baina ya pande hizo mbili.
Merkel: Uwezekano wa mkataba wa Brexit bado upo
Boris Johnson anatarajiwa kusafiri hadi Brussels kwa mazungumzo ya dakika ya mwisho
Johnson kwenda Brussels kwa mazungumzo zaidi ya Brexit
Taarifa yao ya pamoja hapo jana Jumatatu imesema kwamba masharti ya makubaliano bado hayajafikiwa.
Mkwamo wa Brexit waendelea kati ya EU na Uingereza
EU na Uingereza bado katika mkwamo kuhusu Brexit
Uingereza na Umoja wa Ulaya kurejea mezani
Karata ya mwisho ya kusaka makubaliano ya kibiashara
Uingereza haitabadilisha msimamo kuhusu Brexit
Masuala tata ni pamoja na haki za uvuvi, misaada ya serikali kwa makampuni ya biashara na sheria za kutatua mizozo yao
Umoja wa Ulaya, Uingereza zarejea kwenye meza ya mazungumzo
Wajumbe wa timu za upatanishi kutoka Uingereza na Umoja wa Ulaya wamekutana kuukwamuwa mkwamo uliopo.
EU yaendelea kuyafanyia kazi makubaliano mapya ya Brexit
Hayo ni wakati ambapo mashaka yanaongezeka katika mazungumzo hayo tete kuelekea muda wa mwisho, mwishoni mwa mwaka huu
COVID-19 na Brexit kujadiliwa na viongozi wa Umoja wa Ulaya
Kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona barani Ulaya kumezusha majadiliano mjini Brussels.
Ufaransa yahimiza umoja katika mazungumzo na Uingereza
Wito huo wa Ufaransa umetolewa kabla ya mkutano wa kilele wa viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya baadaye wiki hii
Bunge la Uingereza laridhia muswada tata wa Boris Johnson
Bunge la Uingereza laidhinisha muswada tata wa Waziri Mkuu Johnson
EU, Uingereza zafanya kikao cha dharura
Kuna wasiwasi mkubwa kutoka kwa EU hatua ya Uingereza inatishia kuvunja nia yoyote ya kufikia makubaliano ya kibiashara
Umoja wa Ulaya waionya Uingereza kuhusu mktaba wa Brexit
EU yaionya Uingereza kuhusu wajibu wake wa kuheshimu makubaliano ya kujiondowa baada ya London kunuwiya mabadiliko.
Mpango wa Uingereza wa Brexit waibua wasiwasi Umoja wa Ulaya
Umoja wa Ulaya una wasiwasi na mazungumzo ya Brexit
Awamu ya tatu ya mazungumzo ya kibiashara ya Brexit yaanza
Uingereza na Umoja wa Ulaya zaanza awamu ya tatu ya mazungumzo ya kibiashara matumaini ya mwafaka yakiwa madogo
Uingereza na Marekani zajadili bishara huria
Mazungumzo hayo yamefanyika kupitia njia ya mtandao kila upande ukiwakilishwa na wapatanishi mia moja.
Hatma ya Uingereza baada ya Brexit
Makala ya Mwangaza wa Ulaya inaangazia hatma ya Uingereza baada ya kukamilika Brexit
Mbio za sakafuni kutaka kumvua madaraka rais wa Marekani
Mbio za sakafuni kutaka kumvua madaraka rais wa Marekani
Uingereza yaondoka rasmi Umoja wa Ulaya
Kumekuwa na mchanganyiko wa hisia za shangwe na majonzi kote Uingereza baada ya nchi hiyo kujiondoa rasmi Ulaya
Uingereza yajitoa rasmi Umoja wa Ulaya, nini itarajiwe?
31.01.2020 ni tarehe ambayo Uingereza inajiondoa katika Umoja wa Ulaya wenye mataifa wanachama 28 na kuanza safari ya kivyake tangu mwaka 1973. Kutaka kufahamu kile kinachotarajiwa baada ya hatua ya leo usiku, Tatu Karema amemhoji na mchambuzi wa masuala ya kimataifa anayeishi nchini Ujerumani Abdalla Mzee ambaye ameanza kwa kuelezea iwapo kuna mabadiliko ya hivi sasa yanayotarajiwa.
Dunia yampongeza Johnson kwa tahadhari
Trump asema sasa Marekani na Uingereza zitafikia haraka makubaliano ya biashara baada ya Brexit.
Ushindi wa kishindo wa wahafidhina Uingereza
Ushindi wa kishindo wa wahafidhina Uingereza
Uingereza: Chama cha Conservative chatarajiwa kushinda
Waingereza na walimwengu kwa jumla wasubiri kwa hamu kubwa matokeo ya uchaguzi uliofanyika hapo siku ya Alhamisi.
Polisi Uingereza yawatahadharisha wagombea
Wanasiasa wanaozungumzia Brexit wamekuwa wakikabiliwa na vitisho na hata vya kuuawa.
Johnson kushinikiza tena uchaguzi Uingereza
Serikali ya Uingereza kupendekeza tena uchaguzi wa mapema bungeni, licha ya kushindwa Jumatatu.
Brexit hadi Januari 31, 2020
Taifa hilo kuwa la kwanza kabisa kuanza mchakato huo wa kuondoka kwenye umoja huo wenye mataifa wanachama 28.
Nini hatma ya Brexit?
Baada ya kushindwa kwa Waziri mkuu Boris Johnson kwa mara nyingine bungeni suala la Brexit linazidi kuwa gumu
Umoja wa Ulaya huenda ukarefusha Brexit
Umoja wa Ulaya watafakari kuipa muda zaidi Uingereza kwa ajili ya Brexit
Johnson atishia kuachana na mpango wa Brexit
Wabunge wa Uingereza walikuwa wanayajadili makubaliano hayo, na watayapigia kura baadaye jioni hii.
Uingereza yatuma maombi EU kuchelewesha Brexit
.Wabunge hao wamedai kwamba wanahitaji muda zaidi wa kuyapitia ili kuyaelewa yaliyomo kwenye mpango huo.
Wabunge Uingereza wapiga kura kuchelewesha mpango wa Brexit
Wabunge wa Uingereza wanapiga kura kuchelewesha uamuzi wa mpango wa Brexit wa Waziri Mkuu Boris Johnson.
Maoni: Mchakato wa Brexit Je safari hii Bunge litauridhia?
Katika maoni yake mwandishi wetu wa DW Barbara Wesel anasema mivutano kuhusu Brexit bado ipo nchini Uingereza.
Hali kuwa tata wabunge wa Uingereza wakikataa mkataba
Jean-Claude Juncker ameonya hali kuwa tata iwapo wabunge wa Uingereza watashindwa kupigia kura mkataba wa Brexit.
Bunge la Uingereza kujadili Makubaliano mapya
Bunge la Uingereza kujadili Makubaliano mapya Jumamosi
Wajumbe wakwama kwenye mazungumzo ya Brexit
Mkutano wa kilele wa wakuu wa Umoja wa Ulaya umepangwa kufanyika alhamisi na ijumaa kutazama kilichofikiwa
Brexit kizungumkuti. Malkia alifungua bunge.
Wanadiplomasia wa Umoja wa UIaya wanasema bado hakuna dalili ya makubaliano kamili ya Brexit kufikiwa wiki hii.
Uingereza huenda ikaomba muda zaidi wa mchakato wa Brexit
Johnson huenda akaomba kuongezwa muda wa mchakato wa Brexit iwapo makubaliano hayatafikiwa hadi Octoba 19.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 8
Ukurasa unaofuatia