You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Sarafu ya Euro
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ujerumani yafuzu duru ya mtoano kombe la EURO
Mbungi hiyo kali ya kundi A ilichezwa katika dimba la MHP Arena mjini Stuttgart.
Germany yafuzu kwa duru ya mtoano kombe la EURO
Nagelsmaann amesema ana furaha ingawa haikuwa mechi nyepesi dhidi ya wapinzani wagumu
Conceicao aipa ushindi Portugal kwa bao la dakika za mwisho
Ureno ilidhibiti mchezo japo ilishindwa kubuni nafasi za wazi na ilihitaji umahiri wa Conceicao kupata ushindi.
EURO 2024: Mbappe avunjika pua katika ushindi wa France
Mbappe aligongana na beki wa Austria Kevin Danso walipokuwa wakipambania mpira hewani katika mechi ya kwanza ya kundi D.
Kombe la Ulaya inaendelea kushika kasi
Michuano ya Kombe la Ulaya inaendelea kushika kasi. Je timu gani zinapigiwa upatu zaidi kushinda kombe la mwaka huu?
England yapata ushindi wa tabu dhidi ya Serbia
England inateremka tena uwanjani siku ya Alhamisi kucheza dhidi ya Denmark katika uwanja wa Deutsche Bank Park.
Weghorst aipa ushindi wa dakika ya mwisho Uholanzi
Katika michuano ya soka ya Mataifa ya Ulaya ya EURO 2024 Jumapili Uholanzi ilipata ushindi wa 2-1 katika mechi iliyochez
Uholanzi yailaza Poland mabao 2-1
Bao la Poland lilipachikwa wavuni na Adam Buksa kunako kipindi cha kwanza
Ujerumani yaibamiza Scotland 5-1 ufunguzi michuano ya EURO
Wenyeji wa kombe la Euro 2024 Ujerumani imefungua pazia michuano hiyo kwa ushindi wa bao 5-1 dhidi ya Scotland.
Uchambuzi wa michuano ya Euro 2024
Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu hatimaye mashindano ya Ubingwa wa Ulaya - UEFA EURO 2024 yanafungua pazia lake Ijumaa 14.06.2024 hapa Ujerumani. Wenyeji Ujerumani wanatumai kupambana vilivyo na kunyakua kombe hilo kutoka kwa mabingwa watetezi Italia. Ufuatao ni uchambuzi wa Bruce Amani na Babu Abdalla kutoka dawati la michezo la DW Kiswahili.
Ujerumani yachuana na Scotland mechi ya ufunguzi ya Euro2024
Michuano ya Euro 2024 ni michuano ya pili kwa Scotland tangu 1998
Michuano ya Kombe la EURO 2024 kufungua pazia leo Ujerumani
Michuano ya soka ya mataifa ya Ulaya, EURO 2024, inafungua pazia leo nchini Ujerumani.
Viwanja vitakavyotumika kwenye Euro 2024
Viwanja 10 vitakavyotumika kwenye michuano ya Euro 2024.
Maamuzi ya VAR kufafanuliwa kwa mashabiki katika Euro 2024
Hayo yamesemwa na Shirikisho la vyama vya kandanda Ulaya - UEFA, kabla ya michuano ya Euro 2024 nchini Ujerumani.
Ujerumani kuanza kombe la EURO na Scotland
Nyota wa tenis raia wa Uhispania Carlos Alcaraz ashinda taji la mashindano ya tenis ya Paris Open.
Habeck: Euro 2024 ni zawadi kwa Ujerumani
Ujerumani ni mwenyeji wa Michuano ya Euro ya mwaka 2024 inayofanyika kwenye miji 10.
Nagelsmann asema hataruhusu mjadala juu ya makosa ya Neuer
Nagelsmaann ameasema Neuer atakuwa namba moja kwenye michuano ya Euro inayoanza Ijumaa ijayo, Ujerumani.
EURO 2024: Unachopaswa kufahamu
Wabashiri wamewaweka makamu bingwa wa Euro 2020 England mbele ya makamu bingwa wa Kombe la Dunia Ufaransa na Ujerumani.
07.06.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa nyingine za ulimwengu asubuhi hii ni Marekani kuipatia Ukraine msaada mpya wa kijeshi wa dola milioni 225. Jeshi la Sudan laapa kujibu vikali shambulizi lililofanywa na wanamgambo wa RSF na kuwaua watu zaidi ya 100 na Chama Tawala nchini Afrika Kusini cha ANC kuunda serikali ya umoja wa kitaifa. Sikiliza zaidi.
Polisi wa Ujerumani kufanya kaguzi kuelekea Euro 2024
Michuano ya Euro itaanza kufanyika Juni 14 na inatarajiwa kumalizika Julai 14, 2024.
Ujerumani itamudu kufanya maajabu Kombe la Euro 2024?
Wajerumani ndiyo wenyeji wa michuano ya Euro 2024. Watamudu kuonesha makali?
Ufaransa, England zapigiwa upatu kubeba Euro 2024
Mataifa 24 yanashiriki michuano hiyo ya soka ikiwemo Georgia inayoshiriki mashindano hayo kwa mara ya kwanza.
Ureno yaifunga Finland huku Italia ikikabana koo na Uturuki
Ureno yaifunga Finland huku Italia ikikabana koo na Uturuki
Faeser: Ujerumani kuwa "mwenyeji bora" wa Euro 2024
Ujerumani imeshuhudia mjadala mkubwa wa kisiasa kutokana na kitisho cha usalama
EURO 2024: Maandalizi yaendelea kushika kasi
Ujerumani ina matumaini ya kuwavutia mashabiki zaidi wa nyumbani na kurudisha hadhi yao kimataifa.
Uhispania yapania kuzima kelele za RFEF
Timu ya taifa ya Uhispania itawasili Ujerumani wakitaka kujiimarisha tena kama washindani wakuu wa kombe la Euro.
EURO 2024: Nagelsmann akiandaa kikosi chake
Nahodha wa Ujerumani Ilkay Gündogan, Florian Wirtz, Robert Andrich na Jonathan Tah wajiunga kwa mazoezi.
EURO 2024: Kikosi cha Uholanzi
Kocha wa timu ya taifa ya kandanda ya Uholanzi Ronald Koeman ataja kikosi cha EURO 2024.
Toni Kroos kutundika daluga baada ya EURO 2024
Kroos amekuwa na mchango muhimu kwa timu ya taifa na atawacha historia itakayokumbukwa katika sola la Ujerumani.
Ujerumani yataja kikosi cha kombe la EURO 2024
Ujerumani itafungua pazia watakapokipiga na Scotland mnamo Juni 14 katika dimba la Allianz Arena mjini Munich, huku fainali ikitarajiwa kuchezwa Julai 14 katika uwanja wa Olympiastadion mjini Berlin. Sikiliza mahojiano kati ya John Juma na Josephat Charo wa dawati la michezo la DW Kiswahili.
Ujerumani yatangaza kikosi cha michuano ya Euro 2024
Ujerumani itakuwa mwenyeji wa mashindano hayo majira ya joto, imetoa orodha kamili ya wachezaji watakaoiwakilisha.
Michuano ya Kombe la EURO 2024 yakaribia
Zikiwa zimesalia wiki chache kuanza kwa mashindano EURO 2024 Juni 14 yatakayofanyika hapa Ujeurmani tayari baadhi ya mataifa yameanza kutangaza vikosi vyao. Waziri wa mambo ya ndani wa Ujerumani Nancy Faeser amesema vikosi vya usalama vimeajiandaa vyema kwa ajili ya mashindano hayo. Sikiliza mahojiano kati ya Suleman Mwiru na Josephat Charo.
EU yatangaza msaada wa euro bilioni moja kwa Lebanon
Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya imetangaza kutoa msaada wa euro bilioni moja kwa ajili ya Lebanon
Kupanda thamani ya dola kwazusha wasiwasi duniani
Kuimarika kwa dola ya Marekani kunaibuwa wasiwasi mkubwa sio tu katika nchi zinazoendelea bali hata zilizoendelea.
Euro bilioni mbili zapatikana kwa ajili ya kuisaidia Sudan
Mkuu wa Umoja wa Mataifa Guterres amesema uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinaadamu huenda umefanywa Sudan.
Euro bilioni 2 zachangishwa kusaidia Sudan mjini Paris
Zaidi ya euro bilioni mbili za msaada kwa ajili ya Sudan zimechangishwa katika kongamano la mjini Paris, Ufaransa.
Umoja wa Ulaya kuipa Armenia euro milioni 270
Umoja wa Ulaya umeahidi kuipa Armenia euro milioni 270, huku uhusiano wa nchi hiyo na Urusi ukiendelea kuharibika.
NATO yajadili mfuko wa yuro bilioni 100 kwa Ukraine
Kando ya mkutano huo, mkutano wa NATO wanatarajiwa kujadili kinyang'anyiro cha kuchukua nafasi ya Jens Stoltenberg.
Mawaziri wa NATO wajadili ufadhili wa kifedha kwa Ukraine
Mpango huo umeungwa mkono na wandani wakubwa wa Ukraine kama Poland na mataifa ya Baltiki.
Ujerumani yaipiga Uholanzi 2 - 1 mechi ya kirafiki
Ushindi huo wa pili mfululizo katika siku nne unaiongeza Ujerumani hali ya kujiamini kuelekea mashindano ya Euro 2024.
Toni Kroos arudisha shangwe Ujerumani
Kurejea kwa Kroos kumeibua matumaini mapya kabla ya Euro 2024.
Kocha Nagelsmann ataka kujiepusha na "hisia zilizopitiliza"
Nagelsmanna amesema anatarajia kuanza mechi dhidi ya Uholanzi na kikosi kile kile kilichoanza dhidi ya Ufaransa.
Viongozi wa Umoja wa Ulaya kujadili uhamiaji na uchumi
Mkutano huo utachukua mtazamo mpana zaidi wa hali ya kiuchumi ya Umoja huo na ugumu wa kudhibiti mipaka yake ya nje.
EU yakubaliana kutoa euro bil. 5 kuinunulia silaha Ukraine
Mataifa wanachama ya Umoja wa Ulaya yamekubaliana kuongeza euro bilioni 5.5 kwenye mfuko wa kuinunulia silaha Ukraine.
ICC yaamuru waathiriwa wa Ongwen walipwe euro milioni 52
Majaji wa ICC wametoa amri kwa waathiriwa wa ukatili wa LRA kulipwa fidia ya dola mil.52.
Wahanga wa Ongwen kulipwa yuro milioni 52
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC imeamua kwamba karibu wahanga 50,000 wa kamanda wa Uganda Dominic Ongwen, wanastahi
EU wakubaliana juu ya msaada wa euro bil. 50 kwa Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amekaribisha uamuzi huo wa pamoja na kusema utaimarisha utulivu wa kiuchumi Ukraine.
Mgomo wa treni Ujerumani huenda ukagharimu euro bilioni 1
Mzozo wa Mishahara kati ya kampuni ya reli ya Deutsche Bahn na chama cha madereva wa treni GDL unaingia awamu mpya
Mabingwa watetezi Italia kufahamu hatma yao ya EURO 24
Kocha wa timu ya taifa ya Ukraine Serhiy Rebrov amesema wachezaji wake wameghadhabishwa kuelekea mechi yao ya kuwania ku
Benki Kuu ya Ulaya kuzindua sarafu ya dijitali
Benki Kuu ya Ulaya imepiga hatua kuelekea kuzindua toleo la sarafu ya kidijitali ya Yuro ikianza na majaribio.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 10
Ukurasa unaofuatia