1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Sanaa inayotokana na takataka huko Nigeria

Saumu Ramadhani Yusuf6 Desemba 2019

Ni kawaida katika mataifa mengi ya afrika kuona mlundikano mkubwa wa takataka, na ambazo huchafua mazingira. Lakini huko Nigeria msanii mmoja ameamua kuyavamia majalala na kutumia taka za kila aina kutengeneza sanaa yake. Makala ni Utamaduni na Sanaa na msimulizi ni Saumu Mwasimba.

https://p.dw.com/p/3UJba