1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Saa yapoteza thamani

15 Machi 2012

Kwa miaka mingi, uvaaji ulikuwa ukichukuliwa kama jambo la ustaarabu, thamani na wakati mwengine la kifahari pia na watengenezaji saa wakatengeza kila aina na staili za mashine hiyo iliyogeuka kuwa sehemu ya mapambo.

https://p.dw.com/p/14L4k
Saa kama kito cha thamani na chombo cha kujulia wakati.
Saa kama kito cha thamani na chombo cha kujulia wakati.Picha: picture-alliance/dpa

Lakini sasa, mabadiliko ya ulimwengu yanaishuhudia matumizi ya saa kama pambo na hata mashine yakishuka. Je, sababu ni nini? Katika makala hii ya Vijana Mchakamchaka, Bruce Amani anazungumzia ilipokwenda thamani ya saa miongoni mwa rika la vijana wa sasa. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Vijana Mchakamchaka
Mada: Kupotea kwa thamani ya saa
Mtayarishaji/Msimulizi: Bruce Amani
Mhariri: Othman Miraji