Sikiliza mahojiano ya Sudi Mnette na Mc Dowel Kalisa Mnyarwanda anayeishi uhamishoni mjini Stockholm, Sweden, kuhusu ripoti ya HRW dhidi ya serikali ya Rwanda kwamba imekuwa ikiwaua, na kuwapoteza wakosoaji wake walio nje ya nchi hiyo kupitia kampeni ya "kuangamiza".