SiasaJamhuri ya Kidemokrasia ya CongoRwanda haitawachukua wakimbizi kutoka CongoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJamhuri ya Kidemokrasia ya CongoSaumu Mwasimba10.01.202310 Januari 2023Rwanda imesema haiwezi tena kuwapokea wakimbizi wanaokimbia vita Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Bertin Munyampirwa kutoka shirika la kutetea haki za binadamu katika eneo la maziwa makuu MHPR akiwa huko Kigali anazungumzia uamuzi huo https://p.dw.com/p/4LxrKMatangazo