Rais wa Kenya William Ruto amesema serikali yake inajizatiti kutimiza ahadi ilizotoa kwenye kampeni hususani kupunguza gharama ya maisha. Akiongoza Baraza Kuu la Uongozi wa chama tawala cha UDA jijini Nairobi nchini Kenya, Ruto amebainisha kuwa wanakiimarisha chama cha UDA kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Sikiliza ripoti ya Shisia Wasilwa kutoka Nairobi.