1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ruto na naibu wake kupokea nyongeza ya mishahara

Shisia Wasilwa6 Juni 2023

Iwapo mswada huo wa fedha utapitishwa rais na naibu wake watapokea ziada ya shilingi milioni 110 fedha za Kenya. Upinzani unaendelea kuupinga mswada huo. Ripoti ya Shisia Wasilwa inaeleza kwa kina.

https://p.dw.com/p/4SGOP