SiasaRPF yashinda uchaguzi wa bunge RwandaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaMohammed Khelef05.09.20185 Septemba 2018Chama tawala cha RPF nchini Rwanda kimepata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi wa bunge Jumatatu ingawa ni pungufu kidogo ya ilivyokuwa miaka mitano iliyopita.https://p.dw.com/p/34KonMatangazo