ROME: Wito wa kuwa na pepo duniani
22 Julai 2007Matangazo
Baba Mtakatifu Benedikt XVI ametoa wito wa kuwa na amani.Amesema,mataifa yasitishe migogoro inayosababisha umwagaji wa damu sehemu mbali mbali za dunia ili pepo iwepo katika ardhi hii. Papa alikuwa akiwahotubia waumini katika makazi yake ya mapumziko ya majira ya joto,katika milima ya Dolomite nchini Italia.