ROME: Uchaguzi wa mrithi wa Papa Paulo wa Pili
18 Aprili 2005Matangazo
Makadinali wa kanisa Katoliki wameanza kuhamia makazi ya Vatikan na watabakia huko wakati wa kumchagua mrithi wa Papa Yohana Paulo wa Pili.Kuanzia hii leo,makadinali 115 watatengwa na ulimwengu wa nje mpaka watakapomchagua kwa siri Papa mpya.