ROME. Serikali ya Italia haitatumia sheria za Umoja wa Ulaya katika kesi.
3 Mei 2005Matangazo
Serikali ya Italia haiwezi kutumia sheria za umoja wa Ulaya kuhusu makampuni na mashirika ili kukwepa sheria ya ndani ya nchi hiyo juu ya ubabaifu katika mahesabu.
Mahakama ya ulaya imetoa uamuzi huo kufuatia kuahirishwa kwa kesi iliyomkabili waziri mkuu wa Italia Silvio Berlusconi,
Waziri mkuu huyo alikabiliwa na mashtaka ya kutoa mahesabu ya uwongo mnamo mwaka 2002.