1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ROME : Papa aongoza misa ya Ijumaa Kuu

7 Aprili 2007
https://p.dw.com/p/CCBv

Papa Benedikt wa 16 ameongoza misa ya Ijumaa Kuu hapo jana kwenye kanisa la St.Balica katika kumbukumbu ya kusulubiwa kwa Yesu Kristo.

Maelfu ya watu walihudhuria maandamano ya kubeba msalaba.Papa mwenye umri wa miaka 79 amebeba msalaba huo wakati wa sehemu ya kwanza na ya mwisho.

Katika Jumapili ya Pasaka papa atatowa ujumbe wa jadi wa Pasaka unaojulikana kama Urbi et Orbi kutoka kwenye kanisa la St. Peter.