ROME : Hayati Papa John Pual kuwa mtakatifu mapema
13 Mei 2005Matangazo
Baba mtakatifu Benedickt amesema leo anakusudia kuharakisha taratibu za kumfanya hayati papa John Paul kuwa mtakatifu badala ya kungojea kwa muda wa miaka mitano.
Baba mtakatifu Benedikt wa 16 amesema ameamua kuziweka kando taratibu za kusubiri kwa muda huo