ROME: Ajali ya ndege ndogo imeua abiria watatu17.07.200617 Julai 2006https://p.dw.com/p/CG6yMatangazoWatu watatu wamepoteza maisha yao katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea kwenye kisiwa cha Elba, nchini Italia.Msemaji wa uwanja wa ndege wa Marina di Campo amesema kuwa abiria wengine wawili wamejeruhiwa vibaya sana.